Ufafanuzi wa mtambuzi katika Kiswahili

mtambuzi

nominoPlural watambuzi

  • 1

    mtu anayejua mambo kwa undani.

    mjuzi

Matamshi

mtambuzi

/mtambuzi/