Ufafanuzi wa mtango katika Kiswahili

mtango

nomino

  • 1

    mmea unaotambaa kama maboga wenye majani mapana na unaozaa matango.

Matamshi

mtango

/mtangÉ”/