Ufafanuzi wa mtani katika Kiswahili

mtani

nominoPlural watani

  • 1

    mtu ambaye ana uhuru wa kumfanyia mwenzie masihara katika mazingira mwafaka bila kuzusha sokomoko.

Matamshi

mtani

/mtani/