Ufafanuzi wa mtanziko katika Kiswahili

mtanziko

nominoPlural mitanziko

  • 1

    hali ya kuwa katika mkinzano wa mawazo katika kufanya uamuzi wa jambo.

Matamshi

mtanziko

/mtanzikɔ/