Ufafanuzi wa mtapa katika Kiswahili

mtapa

nominoPlural mitapa

  • 1

    kitu kama uchane wa miyaa kinachotiwa katika mdomo wa zumari ili kilize zumari baada ya kupulizwa.

    kilimi, nari

Matamshi

mtapa

/mtapa/