Ufafanuzi wa mtapisha katika Kiswahili

mtapisha

nominoPlural mitapisha

  • 1

    mmea ambao hutumiwa kuwa ni dawa ya kutapishia.

Matamshi

mtapisha

/mtapi∫a/