Ufafanuzi wa mtaro katika Kiswahili

mtaro

nominoPlural mitaro

  • 1

    mfereji mkubwa na mrefu uliochimbwa kwa makusudi ya kupitishia kitu k.v. maji machafu, bomba la maji au mfereji wa kumwagilia shamba.

    mferesi, kuo

Matamshi

mtaro

/mtarɔ/