Ufafanuzi msingi wa mtawa katika Kiswahili

: mtawa1mtawa2

mtawa1

nominoPlural watawa

  • 1

    mtu, agh. mwanamke, anayewekwa ndani na kuangaliwa asitoke ovyo.

Matamshi

mtawa

/mtawa/

Ufafanuzi msingi wa mtawa katika Kiswahili

: mtawa1mtawa2

mtawa2

nominoPlural watawa

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtu mcha Mungu ambaye amejitenga na mambo ya kilimwengu.

    walii, sufii

Matamshi

mtawa

/mtawa/