Ufafanuzi wa mtawala katika Kiswahili

mtawala

nominoPlural watawala

  • 1

    mtu mwenye mamlaka juu ya nchi na watu kwa uwezo alioupata kwa kuchaguliwa na watu wake, kurithi au kwa mabavu.

    maliki

Matamshi

mtawala

/mtawala/