Ufafanuzi wa mtawanyo katika Kiswahili

mtawanyo

nominoPlural mitawanyo

  • 1

    namna au tendo la kueneza kitu.

    ‘Mtawanyo wa habari’
    ‘Mtawanyo wa karatasi’

Matamshi

mtawanyo

/mtawaɲɔ/