Ufafanuzi wa mteguko katika Kiswahili

mteguko

nominoPlural miteguko

  • 1

    hali ya kufyatuka kwa maungio ya mifupa ya mwili.

Matamshi

mteguko

/mtɛgukɔ/