Ufafanuzi wa mteke katika Kiswahili

mteke

nominoPlural wateke

  • 1

    mtu ambaye mwili wake haujakomaa kutokana na umri mdogo.

  • 2

    mtu mwoga.

Matamshi

mteke

/mtɛkɛ/