Ufafanuzi msingi wa mtende katika Kiswahili

: mtende1mtende2

mtende1

nominoPlural mitende

  • 1

    mti mrefu wenye shina lenye magamba, hustawi kwenye maeneo ya joto na udongo wa kichanga, hususan Uarabuni na Afrika Kaskazini, huzaa tende zilizo katika kishada.

Matamshi

mtende

/mtɛndɛ/

Ufafanuzi msingi wa mtende katika Kiswahili

: mtende1mtende2

mtende2

nominoPlural mitende

  • 1

    mwanamke au mwanamume mzuri.

Matamshi

mtende

/mtɛndɛ/