Ufafanuzi wa mtendikani katika Kiswahili

mtendikani

nominoPlural mitendikani

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    tundu katika chombo ambalo hupitishwa makasia.

Matamshi

mtendikani

/mtɛndikani/