Ufafanuzi wa mtesi katika Kiswahili

mtesi

nominoPlural watesi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kusengenya wenziwe.

    mtetaji, msengenyaji, duzi, mpelelezi

  • 2

    mgomvi

Matamshi

mtesi

/mtɛsi/