Ufafanuzi wa mtibwiriko katika Kiswahili

mtibwiriko

nominoPlural mitibwiriko

  • 1

    hali ya kuwa katika furaha, uchekaji au starehe, hasa katika ngoma.

Matamshi

mtibwiriko

/mtibwirikɔ/