Ufafanuzi wa mtikiti katika Kiswahili

mtikiti

nominoPlural mitikiti

  • 1

    mmea utambaao unaozaa tikiti ambalo lina nyama yenye majimaji na huliwa bila ya kupikwa.

Matamshi

mtikiti

/mtikiti/