Ufafanuzi wa mtilili katika Kiswahili

mtilili

nominoPlural watilili

  • 1

    ndege mwenye rangi nyeupe na nyeusi aishiye karibu na maziwa na akamataye samaki.

    kizamiadagaa, mdiria, kurea, kisharifu

Matamshi

mtilili

/mtilili/