Ufafanuzi wa mtimaji katika Kiswahili

mtimaji

nominoPlural mitimaji

  • 1

    mti ambao mbegu zake hutoa mafuta ya kupikia au kutengenezea sabuni.

Matamshi

mtimaji

/mtimaʄi/