Ufafanuzi wa mtindikani katika Kiswahili

mtindikani

nominoPlural mitindikani

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kipande cha ubao kinachoegemezwa kwenye mlingoti ili kuupa nguvu.

Matamshi

mtindikani

/mtindikani/