Ufafanuzi msingi wa mtini katika Kiswahili

: mtini1mtini2

mtini1

nominoPlural mitini, Plural watini

  • 1

    mti uzaao tunda liitwalo tini lenye umbo kama kitunguu, lenye nyama ndani na mbegu ndogodogo.

Asili

Kar

Matamshi

mtini

/mtini/

Ufafanuzi msingi wa mtini katika Kiswahili

: mtini1mtini2

mtini2

nominoPlural mitini, Plural watini

  • 1

    mtu anayeonekana kama mjingamjinga; mtu asiyejua mambo.

Matamshi

mtini

/mtini/