Ufafanuzi wa mtipitipi katika Kiswahili

mtipitipi

nominoPlural mitipitipi

  • 1

    mmea utambaao wenye mbegu ndogo zenye rangi nyekundu na nyeusi.

    mfyambo, mturituri, mmwangaluchi

Matamshi

mtipitipi

/mtipitipi/