Ufafanuzi wa mtiririko katika Kiswahili

mtiririko

nomino

  • 1

    hali ya kitu au jambo kuendelea au kufanyika moja kwa moja bila ya kukatika.

    ‘Mtiririko wa mambo’
    ‘Mtiririko wa maji’

Matamshi

mtiririko

/mtiririkÉ”/