Ufafanuzi wa mtobwe katika Kiswahili

mtobwe

nominoPlural mitobwe

  • 1

    fimbo nyembamba yenye kuweza kupindwa.

    ‘Fimbo ya mtobwe’

Matamshi

mtobwe

/mtɔbwɛ/