Ufafanuzi wa mtokoso katika Kiswahili

mtokoso

nomino

  • 1

    tendo la kuchemsha chakula kwa moto mdogo mpaka kiive au kiwe laini.

    mchemsho

Matamshi

mtokoso

/mtɔkɔsɔ/