Ufafanuzi wa mtomeo katika Kiswahili

mtomeo

nomino

  • 1

    ujenzi wa kurushia udongo katika viambaza.

Matamshi

mtomeo

/mtɔmɛɔ/