Ufafanuzi wa mtomondo katika Kiswahili

mtomondo

nominoPlural mitomondo

  • 1

    mti uotao sehemu zenye majimaji uzaao matomondo.

Matamshi

mtomondo

/mtɔmɔndɔ/