Ufafanuzi wa mtondo katika Kiswahili

mtondo

nomino

  • 1

    siku inayofuatia keshokutwa.

    ‘Leo, kesho, keshokutwa na mtondo’

Matamshi

mtondo

/mtɔndɔ/