Ufafanuzi wa mtondogoo katika Kiswahili

mtondogoo

nominoPlural mtondogoo

  • 1

    siku inayofuatia mtondo; siku ya nne baada ya leo.

    ‘Leo, kesho, keshokutwa, mtondo na mtondogoo’

Matamshi

mtondogoo

/mtɔndɔgɔ:/