Main definitions of mtondoo in Swahili

: mtondoo1mtondoo2

mtondoo1

noun

  • 1

    mti mkubwa ambao hutoa mbao zinazotumika kutengenezea madau na vyombo vingine vya uvuvi.

Pronunciation

mtondoo

/mtɔndɔ:/

Main definitions of mtondoo in Swahili

: mtondoo1mtondoo2

mtondoo2

noun

  • 1

    bunduki ya zamani ambayo hutumia mafusho ya fataki.

Pronunciation

mtondoo

/mtɔndɔ:/