Ufafanuzi wa mtoriri katika Kiswahili

mtoriri

nominoPlural mitoriri

  • 1

    sehemu ya ncha ya tarbushi au boshori.

Matamshi

mtoriri

/mtɔriri/