Ufafanuzi wa mtoro katika Kiswahili

mtoro

nominoPlural watoro

  • 1

    mtu aliyeondoka mahali bila kuaga.

  • 2

    mtu asiyekuwapo mahali alipotakiwa kuwapo.

  • 3

    mkimbizi

Matamshi

mtoro

/mtɔrɔ/