Ufafanuzi wa mtovu katika Kiswahili

mtovu

nominoPlural watovu

  • 1

    mtu asiye na k.v. adabu.

    ‘Mtovu wa adabu’
    mkosefu

Matamshi

mtovu

/mtɔvu/