Ufafanuzi wa Mtu wa makamo katika Kiswahili

Mtu wa makamo

  • 1

    mtu aliyefikia utu uzima; mtu mwenye umri wa miaka kati ya 40 na 50 hivi.