Ufafanuzi wa mtulinga katika Kiswahili

mtulinga

nominoPlural mitulinga

  • 1

    mfupa wa bega wa mbele katika mwili wa binadamu.

Matamshi

mtulinga

/mtulinga/