Ufafanuzi wa mtumbati katika Kiswahili

mtumbati

nominoPlural mitumbati

  • 1

    mti wenye kutoa mbao ngumu na nzuri.

    mpagata, mninga, muhagata

Matamshi

mtumbati

/mtumbati/