Ufafanuzi wa mtumbwi katika Kiswahili

mtumbwi

nominoPlural mitumbwi

  • 1

    chombo kilichotengenezwa kutokana na gogo la mti au magome ambacho kina shimo na hakina mkuku lakini kina tezi na omo kama mashua.

    dau, kihori, hori

Matamshi

mtumbwi

/mtumbwi/