Ufafanuzi wa mtume katika Kiswahili

mtume

nominoPlural mitume

Kidini
  • 1

    Kidini
    mjumbe aliyeletwa na Mwenyezi Mungu ili kutangaza ujumbe wake na kuongoza watu wa zama zake katika njia njema.

    nabii, rasuli

Matamshi

mtume

/mtumɛ/