Ufafanuzi wa mtumishi katika Kiswahili

mtumishi

nominoPlural watumishi

  • 1

    mtu afanyaye kazi kwa ujira kwa mtu binafsi, shirika au serikali.

    ‘Mtumishi wa serikali’

  • 2

    hadimu

Matamshi

mtumishi

/mtumi∫i/