Ufafanuzi wa mtumzima katika Kiswahili

mtumzima

nominoPlural watuwazima

  • 1

    mwanadamu ambaye si mtoto, lakini anaweza kuwa kijana au barubaru.

  • 2

    mtu mkubwa kiumri na kimwili; mtu aliyekua na kukomaa.

Matamshi

mtumzima

/mtumzima/