Ufafanuzi wa mtunga katika Kiswahili

mtunga

nominoPlural watunga

  • 1

    mtu anayepitisha kitu k.v. uzi, ung’ongo, n.k. kwenye kitu chenye tundu k.v. ushanga.

Matamshi

mtunga

/mtunga/