Ufafanuzi wa mtungule katika Kiswahili

mtungule

nominoPlural mitungule

  • 1

    mmea unaozaa nyanya ndogondogo.

Matamshi

mtungule

/mtungulɛ/