Ufafanuzi wa mtupio katika Kiswahili

mtupio

nomino

  • 1

    namna ya uvaaji wa mtandio au kanga kwa kujitupia mabegani tu bila ya kufuata utaratibu wa kujitanda.

Matamshi

mtupio

/mtupijɔ/