Ufafanuzi wa mtura katika Kiswahili

mtura

nominoPlural mitura

  • 1

    mmea wenye majani mapana unaozaa matunda madogo ya duara yasiyoliwa yenye rangi ya kijani au kijani na nyeusi na yakiiva huwa manjano.

    mtunguja

Matamshi

mtura

/mtura/