Ufafanuzi wa mtutumko katika Kiswahili

mtutumko

nominoPlural mitutumko

  • 1

    hali ya kutuna au kuvimba kwa kitu kutokana na kututumka.

Matamshi

mtutumko

/mtutumkɔ/