Ufafanuzi msingi wa mtwana katika Kiswahili

: mtwana1mtwana2

mtwana1

nomino

  • 1

    mtumwa mwanamume.

Matamshi

mtwana

/mtwana/

Ufafanuzi msingi wa mtwana katika Kiswahili

: mtwana1mtwana2

mtwana2

nomino

  • 1

    nguzo ya kushikilia na kuegeshea mlingoti au paa.

Matamshi

mtwana

/mtwana/