Ufafanuzi wa mtwangaji katika Kiswahili

mtwangaji

nomino

  • 1

    mtu anayetwanga.

Matamshi

mtwangaji

/mtwangaʄi/