Ufafanuzi wa muadhamu katika Kiswahili

muadhamu

nomino

  • 1

    jina la heshima linalotumika kabla ya jina la mtu anayestahiki heshima kubwa.

    ‘Muadhamu Baba Askofu’
    muhtaramu, mheshimiwa

Asili

Kar

Matamshi

muadhamu

/muwaĆ°amu/