Ufafanuzi wa muamana katika Kiswahili

muamana

nomino

 • 1

  hali ya kuaminiana.

  itibari

 • 2

  hali ya kuaminika.

  uaminifu

 • 3

  utekelezaji wa ahadi.