Ufafanuzi wa muchanga katika Kiswahili

muchanga

nominoPlural miuchanga

  • 1

    kafara au sadaka ya damu itolewayo baada ya kuunda chombo cha baharini.

Matamshi

muchanga

/mutʃanga/